A Anonymous Caller JF-Expert Member Joined Sep 8, 2016 Posts 1,434 Reaction score 1,930 Apr 9, 2025 #1 Wamejitahidi kucheza kwa nidhamu sana.ni timu mpya ambayo uwepo wake ni August mwaka jana. Valentino Nouma hastahili kuwa benchi.
Wamejitahidi kucheza kwa nidhamu sana.ni timu mpya ambayo uwepo wake ni August mwaka jana. Valentino Nouma hastahili kuwa benchi.
Tochuku JF-Expert Member Joined Aug 16, 2024 Posts 5,322 Reaction score 8,412 Apr 9, 2025 #2 Hata mukwala hastahili kabisa kua benchi...kweli straika unamueka mwenye kitambi unamuacha alie fit sijawahi kuona hii kokote...akina mavambo...
Hata mukwala hastahili kabisa kua benchi...kweli straika unamueka mwenye kitambi unamuacha alie fit sijawahi kuona hii kokote...akina mavambo...
A Anonymous Caller JF-Expert Member Joined Sep 8, 2016 Posts 1,434 Reaction score 1,930 Apr 9, 2025 Thread starter #3 Maforwad ni adimu mno
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 36,899 Reaction score 73,370 Apr 9, 2025 #4 Almasry ni timu mpya??????? Hii ni ajabu
Ng'wanamangilingili JF-Expert Member Joined Aug 22, 2015 Posts 5,794 Reaction score 4,883 Apr 9, 2025 #5 Kalpana said: Almasry ni timu mpya??????? Hii ni ajabu Click to expand... Anamamisha simba