....HONGERENI SIMBA SC

....HONGERENI SIMBA SC

msolopaganzi1954

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2018
Posts
763
Reaction score
379
Me ni mshabiki name mwanachama wa Yanga SC, but nilipata wasaa wa kwenda Taifa na kuangalia game ya Simba na NKANA, dah Nimejifunza mengi Sana,
..moja, Mpira ni BIASHARA NZURI SANA UKIIJULIA,
..pili, Mpira ni uwekezaji
..tatu, mpira Ni burudani
..nne, mpira ni Faraja bekee kwa watu masikini
..tano, Mpira umfanya mtu asahau matatizo yake kwa muda Flan.
..Sita, Investment ni kitu muhimu katika mpira.
..Saba, umuhimu ya Wachezaji wa nje BORA katika Team...

NB :NILIANGALIA kipenzi zaidi na Si kinazi Zaidi, Hakika,Simba Wana Team bora Sana Katika hii miaka 10 iliyopita.
Tatizo lakufanyiwa marekebisho kidogo ila ya muhimu.
Moja, namba mbili na Tatu pako UCHI, pia BOCCO OUT, waweke Jitu pale la kutupia,

PERIOD
 
Wacha waje wakutukane kuwa unajipendekeza, utajuuta kutoa mawazo ya kujenga, but all in all mchango wako no positive. Nadhani kila mwanamichezo hilo atakuunga mkono.
 
Atayetukana Mjinga na Si Mwanamichezo, yaani mshamba tu, Kweli kaka Alafu au watu ndo wako wengi Sana
 
Umeongea kitu cha kweli kama mwanamichezo wanasimba tumeskia!
 
Me ni mshabiki name mwanachama wa Yanga SC, but nilipata wasaa wa kwenda Taifa na kuangalia game ya Simba na NKANA, dah Nimejifunza mengi Sana,
..moja, Mpira ni BIASHARA NZURI SANA UKIIJULIA, ..pili, Mpira ni uwekezaji ..tatu, mpira Ni burudani. .nne, mpira ni Faraja bekee kwa watu masikini ..tano, Mpira umfanya mtu asahau matatizo yake kwa muda Flan. ..Sita, Investment ni kitu muhimu katika mpira.
..Saba, umuhimu ya Wachezaji wa nje BORA katika Team...
NB :NILIANGALIA kipenzi zaidi na Si kinazi Zaidi, Hakika,Simba Wana Team bora Sana Katika hii miaka 10 iliyopita.
Tatizo lakufanyiwa marekebisho kidogo ila ya muhimu. Moja, namba mbili na Tatu pako UCHI, pia BOCCO OUT, waweke Jitu pale la kutupia, PERIOD
cc: Ndumbula Ndema
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
20181226_073821.gif
 
Simba wanahitaji mshambuliaji kiwango cha juu/Okwi juzi hakuwa kwenye form / simba inapaswa kichezesha winga ili awalishe mipira washambuliani(kichuya) badala ya kuanzisha washambuliaji pekee
Wanahitaji beki wa pembeni pia
 
Me ni mshabiki name mwanachama wa Yanga SC, but nilipata wasaa wa kwenda Taifa na kuangalia game ya Simba na NKANA, dah Nimejifunza mengi Sana,
..moja, Mpira ni BIASHARA NZURI SANA UKIIJULIA,
..pili, Mpira ni uwekezaji
..tatu, mpira Ni burudani
..nne, mpira ni Faraja bekee kwa watu masikini
..tano, Mpira umfanya mtu asahau matatizo yake kwa muda Flan.
..Sita, Investment ni kitu muhimu katika mpira.
..Saba, umuhimu ya Wachezaji wa nje BORA katika Team...

NB :NILIANGALIA kipenzi zaidi na Si kinazi Zaidi, Hakika,Simba Wana Team bora Sana Katika hii miaka 10 iliyopita.
Tatizo lakufanyiwa marekebisho kidogo ila ya muhimu.
Moja, namba mbili na Tatu pako UCHI, pia BOCCO OUT, waweke Jitu pale la kutupia,

PERIOD
Ahsante kwa positive feedback.
Tatizo la beki wa kulia linajulikana tokea Kapombe aumie. Ndio sababu Zana Coulibaly amesajiliwa.Beki wa kushoto Asante Kwasi bado hajawa fit baada ya majeruhi.
All in all timu itafanyiwa marekebisho kwa mujibu wa matakwa ya Kocha Patrick Aussems.
Ahsante tena. Noted. Wahusika watafikishiwa.
 
Watafikishiwa na nani?
 
Back
Top Bottom