Hongereni TARURA kwa kutuletea uharibifu wa magari

Hongereni TARURA kwa kutuletea uharibifu wa magari

runtown

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
844
Reaction score
1,163
Hizi rasta mmeweka barabara ya Makerere na Mwika sokoni ni kubwa na ni uharibifu wa magari bora mngeweka bams moja kubwa kuliko hizi rasta.

20230725_094752.jpg
 
Hata bams sijui bums hazikupaswa kuwekwa barabarani, waweke vifaa vya kutambua speed mtu ale faini hapo hapo Kama Ulaya, pesa wanayokusanya Ni kubwa sana
 
Back
Top Bottom