runtown JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 844 Reaction score 1,163 Jul 25, 2023 #1 Hizi rasta mmeweka barabara ya Makerere na Mwika sokoni ni kubwa na ni uharibifu wa magari bora mngeweka bams moja kubwa kuliko hizi rasta.
Hizi rasta mmeweka barabara ya Makerere na Mwika sokoni ni kubwa na ni uharibifu wa magari bora mngeweka bams moja kubwa kuliko hizi rasta.
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,774 Reaction score 47,866 Jul 25, 2023 #2 Hata bams sijui bums hazikupaswa kuwekwa barabarani, waweke vifaa vya kutambua speed mtu ale faini hapo hapo Kama Ulaya, pesa wanayokusanya Ni kubwa sana
Hata bams sijui bums hazikupaswa kuwekwa barabarani, waweke vifaa vya kutambua speed mtu ale faini hapo hapo Kama Ulaya, pesa wanayokusanya Ni kubwa sana