Hongereni TBC ..

Inamonga

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2016
Posts
779
Reaction score
474
Napenda kuwapongeza tbc1 kwa kuonyesha game ya stsrz na Lethoto Live.. naona mmeanza kujitambua sasa kuwa nn mnatakiwa kufanya..
 
Hapa home tu hiyo, wakienda away watanyuti kama kawaida yao..
 
HATA MM NAWAPONGEZA SANA SASA NAONA HESHIMA YA TV YA TAIFA INAANZA KURUDI BG UP SANA UO UWE MWANZO MZURI WA KUTULETEA BURUDANI YA TIMU ZETU ZA TAIFA.
 
mimi hata waonyeshe EPL siwezi kufungua iyo channel
 
nimeshangaa ITV wameshindwa kutangaza habari ya staz kucheza na Lesotho Leo kwenye habari zao. vyombo vyetu vya habari bado sana
 
TBC walipashwa waoneshe mada za kilimo viwanda vidogo vidogo na ziara za mawaziri na Ma-RC katika uzinduzi wa miradi ya maendeleo.Sio michezo.Watu wafanye kazi tu.
 
Mi naomba live streaming site tu.
 
Hapo hongera wapewe Azam Tv, kupitia ZBC2 ambayo hao TBC wamejiunga kupitia wao
 
Kumbe mi naangalia kupitia Super sports SELCT 233
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…