Hongereni TTCL kwa kuboresha huduma ya Internet

Kangosha

Member
Joined
Sep 18, 2023
Posts
52
Reaction score
135
Tangu wiki iliyopita naona huduma za internet kwa TTCL zimeboreshwa Sana. Yaani mtandao upo faster isivyo kawaida.
Hongereni TTCL.
 
Subiri mti uangukie waya uone kama watakuja kuutoa on time. Nakwambia hawana After sell service ..
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Tangu wiki iliyopita naona huduma za internet kwa TTCL zimeboreshwa Sana. Yaani mtandao upo faster isivyo kawaida.
Hongereni TTCL.
Duh hili shirika bado lipo na internet yake ipoje?
 
Hamna kitu, unalipia lakini kila siku, mtandao unazingua( no internet access).. nahisi zilikuwa nguvu za soda tu
 
Tangu wiki iliyopita naona huduma za internet kwa TTCL zimeboreshwa Sana. Yaani mtandao upo faster isivyo kawaida.
Hongereni TTCL.
1734185772385.png

Tigo ni noma ni noma hatari. hii tigo fiber
 
Subiri mti uangukie waya uone kama watakuja kuutoa on time. Nakwambia hawana After sell service ..
Hii ni changamoto sana wana delay hata week na nusu. Na fidia hawatoi. Majanga yakitokea ni usumbufu sana
 
Back
Top Bottom