Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,829 Reaction score 1,303 May 25, 2010 #1 Haki ya nani vile ingekuwa amri yangu leo hii ningesimamisha funding yote kwenye timu ya Taifa starz nikahamishia huku!:confused2: Hongereni sana Dada zetu angalau mnatutia moyo!:becky::becky::becky:
Haki ya nani vile ingekuwa amri yangu leo hii ningesimamisha funding yote kwenye timu ya Taifa starz nikahamishia huku!:confused2: Hongereni sana Dada zetu angalau mnatutia moyo!:becky::becky::becky:
M mtanzania1989 JF-Expert Member Joined May 20, 2010 Posts 4,068 Reaction score 6,758 May 25, 2010 #2 ts nyc 2 kuona tangu uzaliwe taifa lako na lenyewe linagagadua mtu katika medani za soka , bravo twiga stars
ts nyc 2 kuona tangu uzaliwe taifa lako na lenyewe linagagadua mtu katika medani za soka , bravo twiga stars