Hongereni Uhamiaji Tanzania kwa 'Kutowabughudhi' Wamalawi (hasa Wanawake) wanaoingia 'Kiholela' Tanzania

Kwamba Idara/Jeshi la Uhamiaji TZ lichukue hatua za haraka za kiudhibiti dhidi ya wimbi la uhamiaji haramu wa raia wa kike wa taifa la Malawi wanaohamia nchini na kuendesha shughuli / biashara ya ngono katika mitaa mbalimbali ya jiji la DSM.
 
we know how mentally weak you are in handling your emotions. it's just a matter of time, soon one of your popular ID will be gone.matter of the fact,i'm provoking you.[emoji1787][emoji1787]
 
Hhaha Mkuu

Haha Mkuu unetisha sana ngoja na mm nikatoe ugwadu na pisi za kimataifa
Kila Ia Kheri ila kama nawe ni mpenda 'Nukudi' hawa Wanawake wa Kimalawi hawampendi na mtagombana kwa hilo.

Pita tu kule kule tulikoruhusiwa na Baiolojia na Vitabu vya Mwenyezi Mungu sawa?

Utaniletea Mrejesho Mkuu wangu Ok?
 
Sawa Mkuu Kaz inaanza kesho, kama unajuana na mmojawapo nipe namba yake PM. AU DALALI wao

Wewe nenda Ukatongoze yanini hadi nikupe namba yake huko PM? Inaonyesha ni Domo Zege na Mademu zako wengi huwa Unatongozewa na Chawa Wako.
 
Mwaka 2007 niliweza kufika DSM for the first time nilifika kimara stop over nilikuwa na kah na mmalawi kijana mchapka kazi haswa,jus Kati Niko kimara kibo kabla sijaamia keko machungwa nilikuwa pia nakah na kijana wa kirundi ameajiriwa na mam mmoja muuza vikuu namiguu hapo Happ karibia na dagadaga lounge
Wale vijana wote nimewadadisi hawakuwa na vibali vya kuish na kufanya kazi Happ

Sasa Hawa Ni waafrica wenzetu ila Kuna kundi kubwa Sana lipo nchini nalo Ni wahindi na wachinaa wametapaka kila Kona
 
Umeamua kunichamba hadharan Mkuu shida n kujua huyu n mmalawi ama mnyaki
Wewe nenda Ukatongoze yanini hadi nikupe namba yake huko PM? Inaonyesha ni Domo Zege na Mademu zako wengi huwa Unatongozewa na Chawa Wako.
 
Ni kweli wako wengi sana nchi hii hapo ni dar bado haujazungumzia mbeya vijijini hasa katika vijiji vya isuto , chisonta na Ilembo huko ni wazambia tu ni mwendo wa kuongea kizambia .

Tz my country .

Anyway kaka goroko77 umenirudisha mtaani kwangu keko ya machungwa , mpe hi bill hapo keko machungwa bila kumsahau mama kiembe hapo magereza saccos.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…