Hongereni wahitimu mnaosheherekea kumaliza elimu zenu!

Hero

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
3,932
Reaction score
2,839
Kusoma ni safari ndefu inayohitaji uvumulivu, nidhamu na kujitoa! Lakini mwishowe hayo yote huwa historia badala yake ni sherehe tu kama ilivyo siku ya leo kwa baadhi ya wanafunzi wa sekondari na vyuo vikuu hapa nchini!
Nachukua nafasi kuwapongeza sana na kuwatakia sherehe njema huku mkikumbuka kuwa hapo ndo mwanzo tu bali mjiendeleze zaidi na mje kututumikia sisi watz kama mlivyofundishwa!
Congratulations
 
Sijawah kufanya graduation katika maisha yangu ya kusaka elim,ila siku nilokua namaliza mtihani wangu wa mwisho wa shahada ya kwanza nililia kwa furaha,siwez kuielezea furaha ya siku hiyo,,,,
I wish in shaa llah ALLAH akijaalia nitahudhuria mahafali ya SHAHADA YA PILI PALE MLIMANI CITY,
 

mwanangu we kama mimi 2 digrii ctofanya graduation mpaka masterz ambayo ndo ntakuwa naiacha tanzania
 
mwanangu we kama mimi 2 digrii ctofanya graduation mpaka masterz ambayo ndo ntakuwa naiacha tanzania

Watu wanafanya party za kufa mtu halafu akija mtaani msoto wa maanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…