Elections 2010 Hongereni wana Rombo kwa kummwaga Mramba

Nipe Castle Baridi.......sisi tulishachinja Karamagi safi sana Rombo!
 
Duh........kweli kila kitu kinawezekana chini ya jua.............
 
Nina hamu na matokeo ya Lowasa na Rostam
 
Mramba kashindwa, period, nasikia NEC wamethibitisha i am serious

Obama:

Your kiding!!

Huyu ni mchapakazi...alinadiwa...

Nguzo ya zamani... etc

God` I dont belive hivi vitu vinawezekana..!!!!!!!!!!!!!!!
 
Tupe angalau data chache kwa ukamilifu, angalau kwa kituo kimoja

Mkuu imeshatangazwa habari ndio hiyo, sasa ndio atakuwa mfupiiiiiiiiiiiiiiiiiii, maana sijui kama Dr Slaa akiingia Ikulu atapona
 
The wind of change is still blowing strongly. God be with us all
 
Sasa nimeamini demokrasia inanguvu ikipewa nafasi,...Mramba?Rombo can't believe this.
 
Naomba mwenye matokeo ya vunjo aturushie hapa
 
Obama:

Your kiding!!

Huyu ni mchapakazi...alinadiwa...

Nguzo ya zamani... etc

God` I dont belive hivi vitu vinawezekana..!!!!!!!!!!!!!!!


Mkuu hata mm sikutegemea habari ndio hiyo, NEC tayari imeridhia, imagine is like ndoto kwangu, maana alisema YEYE ni Panga la ZAMANI ila makali ni yale yale, kumbe alikuwa panga butu maskini Mramba weeeeeeeee
 
Mkuu imeshatangazwa habari ndio hiyo, sasa ndio atakuwa mfupiiiiiiiiiiiiiiiiiii, maana sijui kama Dr Slaa akiingia Ikulu atapona

Huko Hai Vipi mkuu?

Hii JF forum is more informative than any means of media in TZ. JF Iko juu.
 
Khe khe kheeee nicheke mie jamaa aliacha uwaziri kwa kutuhumiwa tena hoja nzito kabisa lakini CCM kwa kutumia ujeuri wao wakafikiri Watanzania ni wale wale wakuburuzwa kuswagwa kama ng'ombe na kulazimishwa kunywa maji hata wengine walidiriki kusema tunaweza kula nyasi. Asiye na mwana aeleke jiwe. Bado ni mapema lakini dalili ya mvua ni mawingu.

Walikuja Wachambuzi nondo zikawa kali wakakimbia wakarudi na kufikiri huu moto utazima lakini ndio kwanza uliwashwa wakatoroka .. .... ....
 
hakuna kulala.................................................... pipoz pawa
 
Maajabu ya mungu tarakea, rombo

mgombea wa udiwani wa chadema kata ya tarakea , bwana ayoub, ameshinda udiwani bila hata ya kupiga kampeni, japokuwa ccm walikuwa wakimtusi eti iweje mtawaliwe na fundi cherehani( mshona chupi) lakini vijana wamefanya maamuzi, wamesema haiwezekani wakaa vyaa suti isiyokamilika, yaani udiwani, mbunge(selasin) na urais (slaa)
 
Kashindwa kesi au Ubunge, may be some time God punish this people!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…