Elections 2010 Hongereni wana Rombo kwa kummwaga Mramba

Jamani!Iweje wamtose wakati fisadi mkuu alishatangaza kuwa eti tuhuma sio hatia!Wameshindwa na kulegea
 
Hili ni fundisho kwa kikwete kuwa wananchi sasa wameamka sio kupewa mtu yeyote tu ilimradi ni swahiba yake.
Rombo mmefanya la maana.

Message sent.
 
Unapona vigogo wa CCM wanatimuliwa kazi na wananchi ni khabari mbaya kwa Jk katika hati hati ya kuulinda Uraisi.....
 
CCM imeambulia kura za mafisadi na walinzi wao polisi na wanausalama wachache.
Sisi tulio wengi tumeamua kwa haki na Muungu ametupatia slaa new residaa.

Mtafuteni Malaria Sugu aje hapa jukwaani tucheze LELE

Mkuu MS hawezi kutokea sasa hivi anangoja kura za tume za kuchakachua ndio utamuona.
 
mbona ni wazi kura 8000 alizopata aliongezewa 5000 na kina Mchomba na Ngaleku lile jimbo lilikuwa la Mama Maskini ila hasira za Warombo wameonyesha demokrasia hainunuliwi! Hongereni sna
 
Kipigo kama hiki kilitakiwa kwa Chengeh, Rost Arm, Kigo Dar, Lowa Hasa na jamii yao! Mrambaramba hakusoma alama za wakati matokeo yake ni aibu tupu. CHADEMA OYE!
 
Hapa ungeweka kabisa takwim ingekua safi kweli! Na ninyi mnaosema kua tusubiri tume, kwani tume itatangaza matokeo gan? si hayo yalitoka katika vituo hivi vya kupigia kura!!?

Au mnataka kuchakachua!! tokeni hapa.
 
Nataka kujua wale waizi wakuu wakutaka kuiuza nchi yetu kama Mramba,, Ros Azizi na wendine vipi,, au ndo woooteee wameungana na Hawa wenzao hapa Dar na Iringa kuangusha kilio?

Vipi mizengwe yake Pinda imeendaje jimboni kwake? Na Sitaje?
 
pinda alionewa huruma tu akaachwa ashinde bila kupingwa
 
Wakuu kwa taarifa ambazo nimezipata kutoka kwenye timu ya kampeni ya Rombo zinadai kuwa pamoja na Kikwete kumtetea huyo FISADI, amebwagwa vibaya sana na Joseph Selasini wa CHADEMA,naomba wenye full datas watuwekee manake huyu dingi yangu kagoma kunipa.
 

Mramba aliwaambia wanawake wa Rombo kua "Hamna mwanamke anayeweza kuzaa Mbunge zaidi ya mama yake na atakua Mbunge mpaka atakapo kufa ndio atatokea mwingine" Hilo liliwaudhi sana Warombo na kina Mama wa Rombo wakiamua wanafanya kweli.
Tunashukuru kua mama wa "Joseph Selasini naye anaweza kuzaa Mbunge.
 
mramba katoka kaingia selasin joseph, mdogo wake lamwai! rombo oyeeeeeeeeeeeeeeeee
 
wewe JEYKEYWAUKWELI koroga chai unywe...............................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…