Hongereni wanajamii, naomba ushauri juu ya elimu

Hongereni wanajamii, naomba ushauri juu ya elimu

Aisia

Member
Joined
Jan 27, 2012
Posts
9
Reaction score
0
Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha iaa (institute of accountancy arusha) BEF (bachelor of economics and finance) first year, naombeni ushauri sijui baada ya kumaliza chuo ntafanya wapi kazi na pia naombeni ushauri juu ya kufanya part time work huku nasoma, ntashukuru sana kama mtanisaidia mapema.ahsante
 
Utafanya kazi hata ya kuzibua mitaro.
 
Ni vizuri next time ukafanya jambo kwa makusudi flani. Mfano ulipochagua kozi hiyo ulidhani utafanya kazi wapi? Muda wa kufanya vitu kwa sifa ulisha pita na kufa zamani,........maybe utapata katika finance inst. Kama vile bank au hata ujasiriamali!
 
As ndo kwanza mwaka wa kwanza nakushauri usome sana kwa bidii kuliko kuwaza kazi unless uwe na tatizo fulani ambalo unaona ni mhimu kupata kijikazi cha kukupatia kipato this time. Pia nina wasisi kwa nini unasoma course amabyo hujui hata kazi zake ni zipi? I dont believe that labda unajoke?
 
Back
Top Bottom