Elections 2010 Hongereni watani zangu wanyaturu!

utiyansanga

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2010
Posts
213
Reaction score
7
Jana usiku nilisikis channel ten ikionyesha ushindi wa dewj singida mjini,ila nimefurahishwa kwa chadema kupata asilimia karibu 30!% huu ni mwamko mkubwa kwa wanasingida kuacha ushamba wa kutafuta wafadhili badala ya viongozi .maendeleo ya kweli yataletwa nanyi mkisaidiwa na wanyiramba!
 
Jamaa wa Singida huwaelezi kitu mbele ya huyo Gabachori.
 
Watanzania mkeni kwani wafadhili si viongozi. Itakuwaje siku mfadhili akifa na kuwaacha wenyewe? Tafuteni maendeleo yenu wenyewe na si vitu vya kupewa kama pipi
 
wajifya...
Atakayemng'oa Mo Singida mjini inabidi ajiandae sana kuliko kawaida!!
 

songela utiansaanga, aele-anatuulu (asante utiansanga waambie wanyaturu) hatuwezi kuendelea kwa kutegemea ufadhili tujipange kuwatoa wanaoturubuni kwa ufadhili.
 
wajifya...
Atakayemng'oa Mo Singida mjini inabidi ajiandae sana kuliko kawaida!!

fisadi mkuu anayewatia ujinga watani zangu wanyaturu pale singida mjini ni mtu mmoja anaitwa mazala, huyu ndiye hutumiwa kutoa rushwa kwa wanyamighunda katika shughuli zote za dewji, tunajiandaa kumnasa kwa kuwatumia takukuru, labda aache mchezo wake mchafu.
 
Bado wamelala wataamka 2015 kama wanataka maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…