Hongereni watumishi nimeota mwezi huu wa Tisa mnacheka Tena

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Numeota Kishindo Cha TAL kimetikisa kunako na mwezi huu ni mtam balaa mwezi huu ATM Italia ghrrrrrrrrrrrrrree mpaka ikome kwa kila transaction moja ya mtumishi.

Hii ni ndoto lakini kwenye ndoto waweza weka maneno (SI NDOTO NI KWELI)

USIKU MWEMA.
 
Sisi watumishi tumerithika na mishahara tunayoipata!

#JPM 5 tena!
#JPM. 5 tenaa!
#JPM 5 tenaaaa!
#JPM. 5.tenaaaaa!
#JPM. 5 tenaaaaaa!
 
Numeota Kishindo Cha TAL kimetikisa kunako na mwezi huu ni mtam balaa mwezi huu ATM Italia ghrrrrrrrrrrrrrree mpaka ikome kwa kila transaction moja ya mtumishi.
Hii ni ndoto lakini kwenye ndoto waweza weka maneno (SI NDOTO NI KWELI)

USIKU MWEMA.
Dogo inakuwaje Mbona bado hutimizi ahadi yako ya kulipiza kisasi ya kuwaibia TV 1988. Nimalize Aisee
 
Atuachie nchi yetu, hatumtaki. Jamaa ni bishi kweli linang'ang'ania na kutumia mabavu kweli wakati wananchi hawamtaki hata kumuona.

Ni sawa na kung'ang'ania "PENZI" wakati hupendwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…