MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Hongereni sana Dar Young African wazee wa kimataifa hasa, wazee wa terminal Three, wale wengine Ubungo bus terminal inawahusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaSio tena timu ya
Wananchi ?
Sasa imekuwa
Dar Young Africans.
Marehemu alikuwa na mdomo sana
HahahahaaaaSio tena timu ya
Wananchi ?
Sasa imekuwa
Dar Young Africans.
Jamaa si vizuri kumuongelea vibaya marehemu...japokuwa ndo ilikuwa tabia yake!
Nilifikiri Yanga hawana mdomo, kumbe wanaoYanga ya kimataifaView attachment 1190222
Kumbe na Yanga wana mdomo, hawana tofauti na Simba kumbeKwani wanazika saa ngapi?
Saa kumi na moja hii, Mshazika?Kumbe na Yanga wana mdomo, hawana tofauti na Simba kumbe
SIMBA wazee wa Terminal 2 nchini. Yanga terminal 3 kimataifaHongereni sana Dar Young African wazee wa kimataifa hasa, wazee wa terminal Three, wale wengine Ubungo bus terminal inawahusu
Yanga oyeee.....Mikia FC hoiiiiii..
Hongereni sana Dar Young African wazee wa kimataifa hasa, wazee wa terminal Three, wale wengine Ubungo bus terminal inawahusu
Sawa shida ni ud songo sio yanga mkuuNilifikiri Yanga hawana mdomo, kumbe wanao