Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Tuzo za TFF zimeonyesha ni kwa namna gani timu ya wananchi ilivyokuwa bora msimu uliopita, walijipanga kwa usajili bora kuanzia kwa kocha mpaka Wachezaji.
Ukilima vizuri basi pia utavuna vizuri, uwezi kupanda bangi ukategemea kuvuna mahindi ulichokipanda ndicho utakachovuna, tumeona wengine wametoka kapa bila tuzo yoyote baada ya usajili wa wakina Pa Omar Jobe
Pongezi pia kwa kamati ya tuzo safari hii awakutaka kubalance mambo Kama zamani Kila aliyestahili kapewa tuzo yake ndivyo inavyotakiwa.
N:B Tunaomba mwakani pia ziwepo tuzo za sold out ili na sisi tuambulie chochote🤣🤣
Soma zaidi: Leo ndiyo usiku wa tuzo za TFF kwa wanasoka waliofanya vizuri msimu wa 2023/2024