Hongereni Zuhura yunus na Mariam Omar kwa kiswahili fasaha pasi na kubananga

Hongereni Zuhura yunus na Mariam Omar kwa kiswahili fasaha pasi na kubananga

deo paul555

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2018
Posts
1,405
Reaction score
521
Habari wadau,nimekua mtazamaji mzuri wa BBC Swahili kuna watangazaji wamenivutia kwa umahiri wa lugha ya kiswahili japo wako uingeleza,baadhi ya watangazaji nchini hebu waigeni hao ni mfano mzuri.
 
Huwa wanavutia haswa kuwasikiliza utadhani wao ndiyo wapo Tanzania na sisi tupo ughaibuni [emoji16]
 
Back
Top Bottom