BabaKasheshe
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 211
- 45
SAlama wana JF? kwa wale waliofatilia jana taarifa ya habari, Tz imemteua raia na mfanyabiashara mkubwa wa Singapore kua Honorary ambassador wetu nchini humo, naomba kukumbushwa jina lake tafadhari.