B BabaKasheshe JF-Expert Member Joined Nov 7, 2012 Posts 211 Reaction score 45 Aug 20, 2013 #1 SAlama wana JF? kwa wale waliofatilia jana taarifa ya habari, Tz imemteua raia na mfanyabiashara mkubwa wa Singapore kua Honorary ambassador wetu nchini humo, naomba kukumbushwa jina lake tafadhari.
SAlama wana JF? kwa wale waliofatilia jana taarifa ya habari, Tz imemteua raia na mfanyabiashara mkubwa wa Singapore kua Honorary ambassador wetu nchini humo, naomba kukumbushwa jina lake tafadhari.