Je wew ni wakiume au wa kike, nakumbuka enz hzo pale university of dsm
Tulikua tunaandaaa bash, unakuta wanaume wanakua weng sana club kuliko wakike
Hawa wakiume tulikua tukiwaita mamba.. Unakuta dem m1 anabambiwa na mamba zaid ya wa4,..
Maana yangu ni kwamba tunahamasisha sana watoto wakike wajiunge na Jf sabab mamba ni wengi sana kuliko,..