Hoodiii

Hoodiii

mbea

Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
97
Reaction score
1
Bwana Yesu asifiwe!Nimekuja katika jukwaa la watu wenye vipaji,naingia jamani wekeni mikono mnibebe!
 
Inabidi tukubatize kwanza ili ubadili jina - mbea
 
Mi ni mtu mwema,mwadilifu na nadhifu sana katika mambo mazuri tuu.Nimeingia juzi toka Qingdao Qianwan,China kwa ajili ya kuja kupiga kura yangu kwa yule kiongozi anayependwa na wengi hapa Tanzania.Hivyo basi naomba michango yenu mnifahamishe ni nani zaidi anayependwa na ambaye anafaa kuwa presidaa wetu kwani sisi tulio nje ya nchi mara nyingine ni vigumu kupata ukweli wa mambo.
Nawakilisha.
 
UserID = mbea

Salamu = Bwana Yesu asifiwe!

Hamna uwiano!

Tuma ujumbe mfupi support@jamiiforums wakupatie ID mubadala!

Kweli humu nimekutana na wanataaluma,yaani hata jina langu unasema halina uhusiano na salamu?!Aya bwana lakini mimi ni Mbea na Bwana Yesu asifiwe ndiyo salaam yangu.
 
Nina wasiwasi na wewe.......ok,karibu ila kumbuka mkono mtupu haulambwi changia jf
 
Back
Top Bottom