Mi ni mtu mwema,mwadilifu na nadhifu sana katika mambo mazuri tuu.Nimeingia juzi toka Qingdao Qianwan,China kwa ajili ya kuja kupiga kura yangu kwa yule kiongozi anayependwa na wengi hapa Tanzania.Hivyo basi naomba michango yenu mnifahamishe ni nani zaidi anayependwa na ambaye anafaa kuwa presidaa wetu kwani sisi tulio nje ya nchi mara nyingine ni vigumu kupata ukweli wa mambo.
Nawakilisha.
Kweli humu nimekutana na wanataaluma,yaani hata jina langu unasema halina uhusiano na salamu?!Aya bwana lakini mimi ni Mbea na Bwana Yesu asifiwe ndiyo salaam yangu.