MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
- Thread starter
-
- #21
hahahah haa lakini jamaa atafit sanaHahahaaaaaa apo kwa le mutuz na scene ya ujambazi umenivunja mbavu
Dah! We Msaga Sumu mjeuri wewe!!! Hivi unaweza kuniambia ni kwanini hiyo role unataka acheze Le Mutuz? Anyway, muhimu zaidi ni kwamba, umaarufu wa Video Queen sio sababu tosha ya kufanya video iwe hit! Kama issue ni mwanamke, tafuta msichana mrembo kweli kweli hata wa Uswahilini... watu wanaweza kurudia tena na tena kuitazama video yako only because VQ ni mkali tofauti na Wema ambae keshazoeleka sana huku watu wengine wakiwa wanamchukia! Kitu kingine muhimu, ikiwa wewe ni mfuasi wa Story line, well and good, myself, I don' give a shit but whether you're some kind of story line fan or else, muhimu kwako ni ubunifu wa kisanaa kwenye video... sio tu ili mradi mashairi yanasema "baby, nakuona unapanda gari....!" Na wewe tena unaweka scene ya baby wako anapanda gari! Usijifungue chumbani kuandika script, share mawazo na washikaji.... In addition ingawaje kuna mengine... YES, wimbo ni wako lakini ingawaje ni wako usikupe kibri kwamba unaufahamu wimbo wako vizuri! Hapa wasanii wengi huwa wanachemka... wanadhani nyimbo zao wanazijua kumbe wanazifahamu juu juu-- emotionally, hawazifahamu na matokeo yake, unakuta video mtu amekazana ku-dance wakati haikutakiwa ku-dance!nataka nimtumie Le Mtuzi kwenye role ya ujambazi
asante sana kiongozi ushauri nimeuchukua,asante tena kwa mchango wakoDah! We Msaga Sumu mjeuri wewe!!! Hivi unaweza kuniambia ni kwanini hiyo role unataka acheze Le Mutuz? Anyway, muhimu zaidi ni kwamba, umaarufu wa Video Queen sio sababu tosha ya kufanya video iwe hit! Kama issue ni mwanamke, tafuta msichana mrembo kweli kweli hata wa Uswahilini... watu wanaweza kurudia tena na tena kuitazama video yako only because VQ ni mkali tofauti na Wema ambae keshazoeleka sana huku watu wengine wakiwa wanamchukia! Kitu kingine muhimu, ikiwa wewe ni mfuasi wa Story line, well and good, myself, I don' give a shit but whether you're some kind of story line fan or else, muhimu kwako ni ubunifu wa kisanaa kwenye video... sio tu ili mradi mashairi yanasema "baby, nakuona unapanda gari....!" Na wewe tena unaweka scene ya baby wako anapanda gari! Usijifungue chumbani kuandika script, share mawazo na washikaji.... In addition ingawaje kuna mengine... YES, wimbo ni wako lakini ingawaje ni wako usikupe kibri kwamba unaufahamu wimbo wako vizuri! Hapa wasanii wengi huwa wanachemka... wanadhani nyimbo zao wanazijua kumbe wanazifahamu juu juu-- emotionally, hawazifahamu na matokeo yake, unakuta video mtu amekazana ku-dance wakati haikutakiwa ku-dance!
Muulize Ommy dimpoz atakushauri.
Umenikumbusha ile Wanjera party Zenji. Hawana hamu mpaka leo!