Hooodii.i.i.i...

caputein

Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
72
Reaction score
9
Waungwana,hasa wale walolewa ktk makuzi ya kiafrika,yenye mila na destur poa..haswa watanzania wenzangu,ambapo ukiwa na shida hauulizwi kabila lako nan,bal utaxaidiwa kwanza stor baadae..!
huwa wakifika kwenye kasri ya mtu lazma apige Hodi,akaribishwe..ndipo aendelee na yake..!
nam nkiwa miongon mwa hao,jembe lililotokea mkoa mpya,nchi ya ahad..yenye asali na maziwa,wengine wanaiita half london,kwa barid murua na upepo wa kchokoz..ambapo wakazi wake chai ndo abari ya mjin na juice mbwembwe 2, Njombe,naji2pa JF nkiwa pande tofaut nikisaka minoti...bila kuangalia historia,na Mungu yu mwema anazid ku2pa mema..
 

Walolewa???!! Utaxaidiwa???!!. hatutaki lugha mbovu humu. Karibu JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…