Kwa wale wenye satelite dish, kuna tv station inaitwa hope channel ambayo kwa kweli inavipindi vizuri na ushauri wa madoctor kuhusu matatizo ya afya ambayo mengi yanaepukika.

Hizo frquency ulizopewa ni za KU_BAND degree 68.0E
Pia unaweza kuwapata kupitia 4070MHz/3003Ms/s C_BAND degree 68.5E ambako inapatikana pia MORNING STAR RADIO