Baldness sio kupata hedhi mfululizo baldness ni hairloss (kupoteza nywele) au kinajulikana zaidi kama kipara
Kilichompata mchumba wako ni hormonal imbalance (homoni zake hazijakaa inavyotakiwa kibinaadamu hasa kuzidi kwa homini fulani au kupungua kwa homini fulani ) katika mwili wake
Upande wa madhara kuna madhara mengi sana moja wapo ni kama ilo lilomkumba mchumba wako menstrual cycle inabadilika
Pia kuota ndevu na vinyweleo sehemu zizotakiwa
Pia wengine wanakosa hata hamu ya tendo la ndoa au pia wakati wa tendo kupata maumivu makali
Wengine sauti ubadilka na kua kama ya mwanaume
Na vingine vingi sana
Tiba hata madaktari hao ulikoenda waeza wakakupa dawa zakurekebisha ikakaa sawa pia kuna tiba mabadala sikuizi
Ushauri wangi asipuuze atibu haraka