Hormonal imbalance and hairloss.

bobzenden93

Member
Joined
Sep 28, 2016
Posts
33
Reaction score
53
Habari zenu wana jamvi, ningependa kuuliza uhusiano kati ya hormonal imbalance na hairloss hivi vitu vina relate vipi? Je ni kwel hormone imbalance inasababisha hairloss(baldness)?
Just want to know. Mwenye taaluma na hiki kitu, msaada tafwadhwali.
 
inategemea unazungumzia hormones gani....

tafiti zinaonesha watu wenye high level of testosterone hormone are more likely to develop baldness.... lakini haya katika hali hiyo huwezi sema wana hormone imbalance
 
Mchumba wangu alitokwa damu ya hedhi kama wiki mbili mfulilulizo wiki moja baada ya kumaliza hedhi ya kawaida. Tulipoenda hospital aliambiwa ana hormone imbalance.Je, hiyo hali ndo inaitwa baldnes mkuu? Na hiyo hormone imbalance ina madhara gani kwa mwanamke? Je, ina tiba?

Nitashukuru sana kwa majibu yenu mazuri
 
Baldness sio kupata hedhi mfululizo baldness ni hairloss (kupoteza nywele) au kinajulikana zaidi kama kipara
Kilichompata mchumba wako ni hormonal imbalance (homoni zake hazijakaa inavyotakiwa kibinaadamu hasa kuzidi kwa homini fulani au kupungua kwa homini fulani ) katika mwili wake

Upande wa madhara kuna madhara mengi sana moja wapo ni kama ilo lilomkumba mchumba wako menstrual cycle inabadilika

Pia kuota ndevu na vinyweleo sehemu zizotakiwa

Pia wengine wanakosa hata hamu ya tendo la ndoa au pia wakati wa tendo kupata maumivu makali

Wengine sauti ubadilka na kua kama ya mwanaume
Na vingine vingi sana

Tiba hata madaktari hao ulikoenda waeza wakakupa dawa zakurekebisha ikakaa sawa pia kuna tiba mabadala sikuizi

Ushauri wangi asipuuze atibu haraka
 
Nashukuru sana mkuu kwa majibu yako murua
 
inategemea unazungumzia hormones gani....

tafiti zinaonesha watu wenye high level of testosterone hormone are more likely to develop baldness.... lakini haya katika hali hiyo huwezi sema wana hormone imbalance
Yaani high level of prolactin and estrogen for men.
 
Mkuu haujafanya research but nmesoma sehem it may cause
 
Yaani high level of prolactin and estrogen for men.
narudia tena, hiyo sio cause ya baldness kwa mujibu wa tafiti zilizokwishafanyika mkuu.
Mkuu haujafanya research but nmesoma sehem it may cause
kama hutajali niambie ulikosoma hivyo.
Kwa kukusaidia tu naomba uingie google tafuta "Androgenetic Alopecia" nadhani utapata majibu mazuri.

nasubiri feedback mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…