Hormonal imbalance

Mocrana

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
536
Reaction score
122
Ningependa kujua tatizo hili linasababishwa na nini? na je linaweza kutibiwa na kuisha kabisa?

Asanteni.
 
Habari wana jamvi, natumai wote ni wazima na mnaendele vizuri na shughuli za hapa na pale.

Napenda kuuliza kama kuna mtu mwnye utaalamu atufafanulie kidogo kuhusu tatizo la hormon imbalance kwa wasichana under 35, je inasababishwa na nini? dalili zake ni zipi? treatment je? na vyakula vipi ni effective kwa treatment ya tatizo hili.

Ssanteni natumai hii ni kwa manufaa yetu sote.

======================
 
Mtu wangu wa karibu anahili tatizo Thanx mkuu King kong nitampeleka CCRBT.
 
Unaweza kuwa na namba ya uyo dr au ratiba zake pale CCBRT?
 
pia nimepata taarifa kwamba kuna aina ya vyakula vinavyoweza kutibu hilo tatizo,kama kunamtu mwenye utaalamu zaidi atujuze
 
Unaweza kuwa na namba ya uyo dr au ratiba zake pale CCBRT?

Daa huyo Dr ana namba mbili mara nyingi kama unataka kumpata mpigie usiku kuanzia saa mbili hv kwa ajili ya appointment maana mchana yupo busy sana!! Dr Diamond aka Dr Almas(0785818880),Hii nyingine ni Personal sana si ya kikazi.
 
ningependa kujua tatizo hili linasababishwa na nini? na je linaweza kutibiwa na kuisha kabisa?
Mocrana . . .

A hormonal imbalance occurs as a reaction to the elevated level of estrogen and lowered level ofprogesterone within a woman's body. Estrogen is naturally produced by the ovaries and is the female hormone necessary for normal sexual development.

It also works to regulate the menstrual cycle to prepare and maintain the body during childbearing years. Estrogen is dominant during the follicular phase of the menstrual cycle. Progesterone is dominant during the luteal phase of the menstrual cycle by the corpus luteum, and is needed for implantation of the fertilized egg. Later in life, the ovaries begin to decrease their production of estrogen and progesterone, causing symptoms of hormone imbalance to develop.

Estrogen replacement therapy is a common treatment for hormone imbalance. Frequently, only estrogen is replaced. Some health care providers, especially alternative medicine practitioners, feel it is important to supplement progesterone as well, as the balance between estrogen and progesterone is important.

Estrogen dominance, in which there is too much estrogen relative to progesterone, can cause infertility, PMS, menstrual problems, abdominal weight gain, and possibly increased risk of breast cancer.
 
Last edited by a moderator:
Causes:
There are multiple causes for hormone imbalance, but the majority of cases are experienced due to estrogen dominance or increased amounts of estrogen in the body and not enough of progesterone. Common causes include birth control pills, stress, overuse of cosmetics, and non organic animal products.

Other medical causes include genetics, obesity, and tumors. Other causes include lack of exercise, pregnancy, lactation, autoantibody production, and a sedentary lifestyle. Of all of these causes, obesity is the number one medical cause for hormone imbalance while pregnancy is the number one lifestyle change that causes the condition.

Treatment
It is important to understand all the risks and benefits of hormone replacement therapy (HRT). Patients with a history of active or past breast cancer, blood clots, liver disease, pregnancy, or endometrial cancer should talk with a physician before using an over the counter or prescription therapy. There are two main types of HRT. The first is estrogen replacement. It is available in tablet form, cream, or a patch.

It is administered alone and is given in the lowest dose possible to relieve symptoms. The second type of therapy is a combination of estrogen and progesterone. It is commonly known as HRT combination therapy. These two hormones are given continuously for the shortest time possible to reduce the risk for possible side effects.

Side effects of treatment include irregular spotting, breast tenderness, fluid retention, headaches, dizziness, and blood clots or stroke.
 
Hellow wana JF, naomba msaada, ametumia sindano za kuzuia mimba, na anableed mara kwa mara, suruhisho ni nini?
 
Hicho kichwa kiko wapi?mbona naona maandishi?..loading error...
 
Hiyo hali huwa inatokea kwa watumiaji sindano...
Aende hospitali atapewa dawa...
Au atumie flagyl na zile contraceptive pills...damu itakata

Akipona mwambie atumie calenda...hiyo misindano sio mizuri.
 
Hizo uzazi wa mpango ni shida tu, hakuna hata yenye unafuu aende hospitali atapewa dawa....
 
ukiona hivyo haikufai dawa ya kuzuia huo ugeni ni contracetive pills tu then ikiisha miezi mitatu aachane nayo
 
Hakuna sheeda... bunge la katiba linaendelea bila hata concern ya wananchi... tv siku izi sio kazi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…