Hormonal imbalance

Google usome kuhusu flax seeds. Zinatibu mambo mengi na ni sehemu ya chakula.

Kama upo dar utazipata shrejee supermarket ya masaki. Nakumat ya quality center wanayo lakini wanauza ghali sana kwa grams (shrejee ukinunua kg 1 unapatavkwa tshs 20,000/-)

Jinsi ya kutumia:
Zisage kwa blender.

-Unaweza kumix na margarine, asali ama peanut butter na kupaka kwenye mkate (naona dr kasema avoid wheat, kasheshe hiyo).
Unaweza kumix kwenye maziwa mtindi. Unaweza kuweka pamoja na corn flakes ama morsels zozote na kula pamoja na mtindi ama maziwa fresh. Unaweza kuchanyanya kwenye uji ama mtori.

Nadhani dose ni vijiko viwili vya chakula twice a day.

Hebu jaribu kusoma hii mtandaoni na utumie kama sehemu ya chakula kwa muda mrefu (wanashauri matokeo utayapata baada ya mwezi) halafu ukapime tena.
 
Habari salama
Ilo tatizo linatibika
Ingia Google andika Green World Soy power. ..ili uweze kuisoma inavyofanya kaz kwanza
Kwa maelezo zaidi 0714.912390
 
HABARI ZA SAIZ WANA JF,
NAOMBA MSAADA WA KUJUA DAWA ZA ASILI ZA HOMONE IMBALLANCE KWA MWANAMKE NA VYAKULA GANI AMBAVYO ANAWEZA KUTUMIA NA HOMONE IKABALANCE AU KURUDI KATIKA HALI YA KAWAIDA
MSAADA WENU MUHIMU WATASHI
 


Shukrani mkuu
 
nimesikia eti zile dawa za kuongeza nguvu za kiume zilizoruhusiwa na wizara ya afya,zaweza balance pia homoni kwa wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…