Hormone ya testosterone na faida zake kuhusu nguvu za kiume

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,939
Reaction score
3,259
Hormone hii inahusika na mambo yafuatayokuufanya uume uwe imara.kucontrol kukojoa wakat wa tendo i mean mshindo.kucontrol kusimamisha uume kwa haraka na kwa mda mrefu, kuamsha sponge never kwenye kichwa cha uume kusimama haraka kurudia tendo, hamu ya kuwa na mwanamkehisia za kujiaminkutatua tatizo la low sperm count yani uchache wa mbegu ubora wa mbegu ugumba kwa ujumla.

Hii ndio hormone inayofanya wanaume wengi kuhisi wana upungufu wa nguvu za kiume na kutumia mamilion ya pesa kununua dawa zinazowaboost misuli ya uume na kisha kuhisi wamepona tatizo lao, hormone hii ina umuhimu hata kwa wanawake pia.ninaweza kurudisha hormone hii kwa gharama ya elfu 20 tu utatoa nusu kisha ukipona utamaliza nusu 0712505049.
 
kwa dawa za asili au kizungu
 
mchanganyiko wa matunda
 
ngoja nitoe tu elimu tu hapa hapa kwa tatixo Chukua tikiti kipande kimoja ndiz parachichi na katot saga na Brenda kisha unywe upate juis ama kama hauna Brenda Kara vipande ule kama chakula Mara moja kwa siku ama tatu. kisha kunywa maji Lita 2 per day
 

Umetisha
 
tatizo letu vijana wa siku hizi ni raha jipe mwenyewe, labda useme kama hiyo dawa inatibu hilo pia
 
Pia elezea hata madhara ya hizi homone ukitumia hovyohovyo bila ushauri wa daktari hata bila kujua nini kinasababisha zipungue, unaweza kujiletea madhara zaidi badala ya faida
 
ndugu embu kata hizo kucha zako za mikono, halafu urudie kuandika
 

uko vizuri.
 
Wala hakuna gharama za kuipandisha hii hormone usihadaike, hii hormone huwa imo mwilini kama kawaida, ila huathiriwa kutokana na uraji mbovu wa vyakula au matumizi yaliyopitiliza ya vilevi, njia ya kuicontrol ni kuhakikisha kiwango cha insulin mwilini hakizidi. Na njia ya kurudisha heshima ni kula nyanya mshumaa za kuchemsha kila siku kutwa mara tatu au kunywa tangawizi kwa wingi ni mda mfupi tu heshima itarudi.
 
tangawiz inatibu kwa kiasi kikubwa kuwai kufika kileleni kwa mwanaume mara chache husaidia masuala ya kusimamisha kabla ya tendo au kati ya tendo. ukichemsha tangawiz una vimelea sailing yanakua makap na useless hata mboga za majani hupaswi kupika kwa mda mrefu utaua vitamin zote same to tangawiz.
nyama mshumaa wataipata wap na sh ngap wakati hapo ataitaj mia sita tu kujitibu kwa siku .sio ulaj mbovu tu hata kujichua huathir hormone .huu ni utafit na hii ni ofis ina gharama zake mpaka inakuja kujulikana kua mchanganyikovhuo unapandisha hormone tulichukua miaka
 

kuna watu insulin haijazid na bado wanatatizo la testosterone kwa maana anakwambia nikiwa kwa wife inasimama lakin nje ya ndoa haisimami
 
Pia elezea hata madhara ya hizi homone ukitumia hovyohovyo bila ushauri wa daktari hata bila kujua nini kinasababisha zipungue, unaweza kujiletea madhara zaidi badala ya faida

hormone unsziongeza kwa njia ya asili hivyo haina madhara
 
tatizo letu vijana wa siku hizi ni raha jipe mwenyewe, labda useme kama hiyo dawa inatibu hilo pia

homon inatibu masuala ya hisia haswa kujichua maana mwisho wa kyjichua ni aibu mbele ya mwanamke
 
upunguvu wa nguvu za kiume si ugonjwa ni matokeo ya hormone hii kuathirika huitaji dawa
 
Mkuu ushauri tafadhali nikipada tu namaliza nini tatizo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…