Mkuu ushauri tafadhali nikipada tu namaliza nini tatizo mkuu.
upunguvu wa nguvu za kiume si ugonjwa ni matokeo ya hormone hii kuathirika huitaji dawa
ngoja nitoe tu elimu tu hapa hapa kwa tatixo Chukua tikiti kipande kimoja ndiz parachichi na katot saga na Brenda kisha unywe upate juis ama kama hauna Brenda Kara vipande ule kama chakula Mara moja kwa siku ama tatu. kisha kunywa maji Lita 2 per day