Kuna binti mmoja rafiki yangu ana tatizo hili aliambiwa akizaa tatizo litaisha na aliambiwa atumie supplements, kwa mwanaume sijui pia hadi azalishe ndio tatizo linaisha sijui.
Maybe wanakujenga psychologically kwamba wewe uko poa unaweza fanya kazi kike au kiume ukafeel u mwanamke au mwanaume kweli.
no sio kwamb nimeota maziwa hapa ika najihis sipo powa tu even i. sex naweza enda had bao 7 lakin kil bao nisimalize dakika 2 ndo nikaenda kupima nikaambiwa nina ta5iz hilo