Mkogoti
TAPELI Mkubwa
- May 3, 2020
- 2,415
- 3,924
Uzi huu kwa ajili ya kutaja character wa movie yoyote ile aliekuwa anafanya mauaji! Bila kosa lolote, yani yeye anamvizia mmoja mmoja anaua!
Mimi naanza kuna Jason yeye movie zake ni za Friday 13! Harafu kuna Michael Myers mzee wa kisu anaua huyo balaaa!
Ebu tiririka tuone character wako unaemkubali kwenye movie za mauaji