Mazungumzo yao
Mama kuku: unaona, wale hawana ukuku, yaani ni walakuku
Mtoto kuku:baba naogopa
Baba kuku: usiogope mwanangu, ni sinema tu... sound effects kibao na make up. huyo kuku unayemwona hapo ndiye yule 007
Sista du kuku: nimemsikia, wanamwita chick, ken chick