torque ni towing au turning force ya gurudumu kwa muda fulani, yan gurudurmu linaweza zunguka mara ngapi kwa muda flani
lakin horse power ni nguvu ambayo ingine inaweza kuzalisha ili ifanye kazi.
Hp= Torque x rmp/5252
T=Hp x 5252/Rmp
Maana yake Hp is calculated from torque yan torque na Rmp zikiwa kubwa na HP inaongezeka lakin Torque ikiwa kubwa rmp ndogo Hp inapungua kimahesabu,
lakin kwa Torque ni tofauti kidogo kwa sababu torque inakuwa kubwa at low Rmp
iyo 5252ni costant.
kwa watu wanao penda bust speed wanahitaji torque kubwa maana gari ikiwa na torque kubwa ina chochea faster sana inakuwa na feeling flani kama unabaniwa kwenye seat fast feeling iyo ni torque na ndo inaladha haswa kwa vijana,pia torque inasaidia kuvuta vitu vizito zaidi,
Hp ni wale wa kufika na kumaintain top speed gari ikiwa kwenye peak Rmp tu