horticulture,agr.general and agronomy

horticulture,agr.general and agronomy

merali

Member
Joined
Aug 31, 2012
Posts
30
Reaction score
4
et wadau naomba 2 muongee ukweli juu ya hili swala et kat ya agronomy horticulture and agr.general ip ni best kuliko mwenzake na ni ip iko poa kwa ishu ya kupata ajira maana kuna, naomba majbu ya ukweli kiroho saf wakuu
 
wewe unataka course ndo ikulead kupata ajira na wala sio interest uliyonayo ? ilitakiwa kwanza upende kitu fulani then ndo uende kusomea hicho
 
Horticulture kwa arusha iko marketable sababu kampuni za kuzalisha maua na mbegu ziko nyingi na huko ndiko wengi waendako huon hata chuo cha kiserikal kimewekwa huku!
Hiyo nyingine cjui wengne watamalizia
 
Back
Top Bottom