et wadau naomba 2 muongee ukweli juu ya hili swala et kat ya agronomy horticulture and agr.general ip ni best kuliko mwenzake na ni ip iko poa kwa ishu ya kupata ajira maana kuna, naomba majbu ya ukweli kiroho saf wakuu
Horticulture kwa arusha iko marketable sababu kampuni za kuzalisha maua na mbegu ziko nyingi na huko ndiko wengi waendako huon hata chuo cha kiserikal kimewekwa huku!
Hiyo nyingine cjui wengne watamalizia