Hosea Anamtishia Sitta Maisha?

Hosea Anamtishia Sitta Maisha?

Makaayamawe

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2009
Posts
341
Reaction score
9
Hosea%20sitta.jpg

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Samuel Sitta (kulia),
akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na
Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk. Edward Hoseah
ofisini kwake mjini Dodoma jana.​

Waungwana naomba kudadisi, nini ni nia ya matembezi ya Dr. Hosea kwa spika Sitta?
  1. Je amekuja kuomba kibali cha kuwahoji wabunge? No! Alishasema hahitaji kibali?
  2. Amekuja tu kumtembelea na kumjulia hali. Mmmmh! No comment?
  3. Amekuja kumtishia kuwa akiendelea kumwandama, na yeye Hosea atalala sambamba na spika Sitta. Kwa jinsi anavyomwangalia kwenye hiyo picha hapo juu, siweze kulikataa hili.
Je waungwana mnafikiria Dr. Hosea alifuata nini huko bungeni wakati Richmonduli inakaribia kujadiliwa?
 
Who knows!

Vita ni kwenye majukwaa na vyombo vya habari!
Lakini inside there, hope they are just enjoying their pieces of National cake!

Na ni lazima awepo huko in one way or another, maana hoja ya Richmonduli inamhusu from all angles!
 
Kuwajadili sana hawa watu tunawapandishe daraja. Acha wafu wawazike wafu wao.
 
Alijua amechemsha. Hivyo alikuja kufanya hilo la kwanzawvinginevyo angekuwa toasted.
 
Ninavyowafahamu viongozi wa Tanzania walikuja kuweka mambo sawa ya kuacha kufuatafuatana. Halafu report ya richmond tutaonyeshwa video tu hakuna chochote cha maana tutakachokiona kwa jinsi wabunge wa ccm walivyokamatwa HOSEA HUKU, MWINYI NA KAMATE YAKE KULE, LOWASA KATI na wengineo wengi wanawatisha. Kwa hali ilivyo sasa hakuna Mbunge yoyote atakayetaka kufanyanyika uchaguzi sasa hivi.
Madaraka matamu bwana, POSHI MBILI KWENDA MBELE
 
Hosea%20sitta.jpg

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Samuel Sitta (kulia),
akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na
Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk. Edward Hoseah
ofisini kwake mjini Dodoma jana.​

Waungwana naomba kudadisi, nini ni nia ya matembezi ya Dr. Hosea kwa spika Sitta?
  1. Je amekuja kuomba kibali cha kuwahoji wabunge? No! Alishasema hahitaji kibali?
  2. Amekuja tu kumtembelea na kumjulia hali. Mmmmh! No comment?
  3. Amekuja kumtishia kuwa akiendelea kumwandama, na yeye Hosea atalala sambamba na spika Sitta. Kwa jinsi anavyomwangalia kwenye hiyo picha hapo juu, siweze kulikataa hili.
Je waungwana mnafikiria Dr. Hosea alifuata nini huko bungeni wakati Richmonduli inakaribia kujadiliwa?

Alikuja kumuonyesha kwamba anavaa nguvu za wapi kule aliko tokea waziri mkuu majuzi na style ya mavazi ?
 
Ninavyowafahamu viongozi wa Tanzania walikuja kuweka mambo sawa ya kuacha kufuatafuatana. Halafu report ya richmond tutaonyeshwa video tu hakuna chochote cha maana tutakachokiona kwa jinsi wabunge wa ccm walivyokamatwa HOSEA HUKU, MWINYI NA KAMATE YAKE KULE, LOWASA KATI na wengineo wengi wanawatisha. Kwa hali ilivyo sasa hakuna Mbunge yoyote atakayetaka kufanyanyika uchaguzi sasa hivi.
Madaraka matamu bwana, POSHI MBILI KWENDA MBELE

Sio uongo, wabunge wamebanwa kisawasawa. Upande mmoja yuko Hosea, upande mwingine Alhaji Mwinyi, Lowassa naye anaangalia kila anayenyoosha kidole au kufungua tu domo lake, Pinda naye huwezi jua atakuja na mkwara gani? Makubwa haya tusubiri tuone.
 
Hosea ni mbabe mwenye maconfo, Sitta mikono chini, Hosea anajiamini, Sitta ana agenda zake, the winner ni Hosea. Nadhani no richmod report.
 
Vita ni kwenye majukwaa na vyombo vya habari!
Lakini inside there, hope they are just enjoying their pieces of National cake!

Can't agree with you more. These people could have sold even corpses, if there were nothing else to steal.
 
Alijua amechemsha. Hivyo alikuja kufanya hilo la kwanzawvinginevyo angekuwa toasted.

Mkuu Mwanakijiji
Nafikiri Hosea hana nia ya kupewa kibali cha kuwahoji wabunge maana huu uchunguzi wake ni mbinu tu ya kuwa-control wabunge kwenye mijadala. i.e. No kelele No Hosea. Otherwise wangeshafungua mashitaka kutokana na ushahidi wanaodai kuwa wanao.
 
Alijua amechemsha. Hivyo alikuja kufanya hilo la kwanzawvinginevyo angekuwa toasted.
Hosea: Sitta unataka nimwage mboaga hadharani..yale mauchafu yako yote utabaki kweli?
Sitta: Acha hizo bana...te te mimi natafuta umaarufu si unajua wananchi wetu..najiandaa for 2010...so don't take it serious!
Hosea: Sawa..tutahoji kidogo bana halafu..nyie endelea kukamata hizo siyo issue
Hosea na sitta wanacheza mchezo wa kuigiza..maana wote..ni mafisadi ..
 
Alijua amechemsha. Hivyo alikuja kufanya hilo la kwanzawvinginevyo angekuwa toasted.

Wapi Bana!! Nadhani wewe humjui Sitta. Ana mkwala kwelikweli. Kutokana na tabia yake, kama angekuwa hana kitu anachokihitaji kwa Hosea asingeweza kumpa heshima kubwa kama ile ya kumpokea, kumsalimia kwa kumkumbatia, kuongozana nae kama Rais kwenda ofisini kwakwe na kutulia nae wao wawili tu huku akitoa heshima zote. Kumbuka huyu(Hosea) ni mtu aliye mshutumu (Sitta) kuwa posho zilizotolewa si takrima.

Kutokana na ile press conference ya Hosea wabunge wame maizi yafuatayo:-

1. Kupokea posho mbili ni wizi/rushwa.
2. Wabunge hawana kinga ya makosa ya Jinai na akawasomea hizo section husika moja baada ya nyingine.
3. Wakipenda wasipende lazima wahusika wahojiwe.
4. Issue ya Richmond haimtetereshi Hosea hata chembe.

Hivi sasa huko Dodoma wabunge wamechanganyikiwa kweli.
 
Alijua amechemsha. Hivyo alikuja kufanya hilo la kwanzawvinginevyo angekuwa toasted.
Hosea time is up...

wanajaribuu kukubaliana aondokee bila kinyongo..Pinda anajitahidi kushawishi, muungwanaa anajaribu kusikilizaa..

ni upepo tuu wa kisiasa kuuchocheaa uwavumie vemaa kwa wakati ujao
 
Wewe pasco ni mshamba na ndio maana umejifichia humu.....kwani mtu anayejiamini unamuangalia kwa kutumia kigezo kipi? issue hapa ni hoja tu na sio muonekano wa sura bado ni mtoto mdogo sana unatakiwa kukua kwanza kabla ya kuanza kujadili humu...eti mikono chini ulitaka amshike shati?
 
Hosea ni mbabe mwenye maconfo, Sitta mikono chini, Hosea anajiamini, Sitta ana agenda zake, the winner ni Hosea. Nadhani no richmod report.

Richmonf report itoke wapi wakati watu wamebanwa mbavu huku na huku mara wamedaka posho mbili mara sijui nini yaaai ni mishemishe mtindo mmoja...
 
Back
Top Bottom