Makaayamawe
JF-Expert Member
- Feb 21, 2009
- 341
- 9
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Samuel Sitta (kulia),
akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na
Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk. Edward Hoseah
ofisini kwake mjini Dodoma jana.
Waungwana naomba kudadisi, nini ni nia ya matembezi ya Dr. Hosea kwa spika Sitta?
- Je amekuja kuomba kibali cha kuwahoji wabunge? No! Alishasema hahitaji kibali?
- Amekuja tu kumtembelea na kumjulia hali. Mmmmh! No comment?
- Amekuja kumtishia kuwa akiendelea kumwandama, na yeye Hosea atalala sambamba na spika Sitta. Kwa jinsi anavyomwangalia kwenye hiyo picha hapo juu, siweze kulikataa hili.