Hospital gani Dar nzuri kupima afya! Kwa kutumia bima ya afya NHIF?

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,647
Reaction score
9,604
Wakuu nahitaji kupima afya kwa kupima magonjwa mbali mbali. Naomba mwenye uelewa wa hospital gani nzur na iko wapi naweza kupima kwa kutumia bima ya afya NHIF.

Taratibu zake ziko vipi?
 
Nenda Regency Hospital wana maabara ya kisasa na qualified & efficient manpower na wanapokea card za bima za afya.Ipo karibu na jengo la umoja wa vijana au adjacent na Agakhan Secondary School.
 
Nenda Regency Hospital wana maabara ya kisasa na qualified & efficient manpower na wanapokea card za bima za afya.
poa mkuu naomba nikulizwe swali:
Kama hauumwi unataka tuu kupima afya "unalist idadi ya magonjwa unayotaka kupima au unawaambia tuu wakupime?
2.vipi changamoto za folen au kuna special kwa wanaopima tuu?
 
Pale wana utaratibu wa namba , so queing theory is a world wide phenomena. Dont worry.
 
Nami nitaenda apo kupima afya ili niitumie tu bima yangu... Kila mwaka nakata tu hata haitumiki
 
Bima ya afya ya NHIF hawapimi Afya, wanatibu magonjwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…