Nairart Member Joined May 13, 2019 Posts 22 Reaction score 36 Sep 5, 2019 #1 Hello wakuu, tafadhali kwa yeyote anaejua wapi naweza kupata huduma ya clinic ya wachina na acupuncture. Naomba anisaidie maelekezo ya mahali ilipo na huduma zao hasa magonjwa ya kina mama. Msaada tafadhali.
Hello wakuu, tafadhali kwa yeyote anaejua wapi naweza kupata huduma ya clinic ya wachina na acupuncture. Naomba anisaidie maelekezo ya mahali ilipo na huduma zao hasa magonjwa ya kina mama. Msaada tafadhali.
rich1 JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,020 Reaction score 3,309 Sep 6, 2019 #3 famba 06 said: Mtongan Click to expand... Sehumu gan???