Hospital ninayoweza kufanya check up ya magonjwa yote

Ototo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Posts
1,237
Reaction score
1,140
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni hospital gani wanatoa huduma ya kucheck mwili wote?, namaanisha kupimwa magonjwa yote..
 
Daaa.hatta mimi naitaj kujua. Kuna rafiki yang mmoja aliniambia kuna private moja hospital wana kimashine flan unakishika tu then magonjwa yote ama infection popote pale yanajiandika ambayo.unayo kwa wakat huo
 
Sasa mkuu kwanini usimuulize ni wapi? Ili twende
 
Daaa.hatta mimi naitaj kujua. Kuna rafiki yang mmoja aliniambia kuna private moja hospital wana kimashine flan unakishika tu then magonjwa yote ama infection popote pale yanajiandika ambayo.unayo kwa wakat huo

Hakuna kitu kama hicho usipoteze pesa yako bure

Hiki kitu kingekuepo maabara zote zingefungwa
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni hospital gani wanatoa huduma ya kucheck mwili wote?, namaanisha kupimwa magonjwa yote..
Labda hizi za tiba asili za kichina watumia vifaa kama akupancha mi siviamini sana ila very detective, unaweza ukaambiwa una magonjwa hata 20 hivi sasa skilizia dozi ndio utachoka mwenyewe
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni hospital gani wanatoa huduma ya kucheck mwili wote?, namaanisha kupimwa magonjwa yote..
Kuna hospital moja ipo hapa dsm inaitwa kairuki ni ya private na ina Huduma ya bima pia ni hospital ambayo iko vizur sana kwani kuna mabingwa wote wa magonjwa mbalimbali pia wanatoa vipimo vyoooteeee unavyovijua nihospital nzur sana na inahudumia wateja wake kwa ukarimu sana
 
Iko maeneo gani mkuu??? Nifanye mchakato wa kwenda
 
Wizi mtupuu, kama zipo hizo mashine mbn serikali na private hospital kubwa hawazutumiii???? [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] hizo mashine zipo kwenye tiba mbadala kaa vip fika ilala bungoni hope utaudumiwa
 
Back
Top Bottom