Sasa mkuu kwanini usimuulize ni wapi? Ili twendeDaaa.hatta mimi naitaj kujua. Kuna rafiki yang mmoja aliniambia kuna private moja hospital wana kimashine flan unakishika tu then magonjwa yote ama infection popote pale yanajiandika ambayo.unayo kwa wakat huo
Daaa.hatta mimi naitaj kujua. Kuna rafiki yang mmoja aliniambia kuna private moja hospital wana kimashine flan unakishika tu then magonjwa yote ama infection popote pale yanajiandika ambayo.unayo kwa wakat huo
Labda hizi za tiba asili za kichina watumia vifaa kama akupancha mi siviamini sana ila very detective, unaweza ukaambiwa una magonjwa hata 20 hivi sasa skilizia dozi ndio utachoka mwenyeweKama kichwa cha habari kinavyojieleza ni hospital gani wanatoa huduma ya kucheck mwili wote?, namaanisha kupimwa magonjwa yote..
Kuna hospital moja ipo hapa dsm inaitwa kairuki ni ya private na ina Huduma ya bima pia ni hospital ambayo iko vizur sana kwani kuna mabingwa wote wa magonjwa mbalimbali pia wanatoa vipimo vyoooteeee unavyovijua nihospital nzur sana na inahudumia wateja wake kwa ukarimu sanaKama kichwa cha habari kinavyojieleza ni hospital gani wanatoa huduma ya kucheck mwili wote?, namaanisha kupimwa magonjwa yote..
Iko maeneo gani mkuu??? Nifanye mchakato wa kwendaKuna hospital moja ipo hapa dsm inaitwa kairuki ni ya private na ina Huduma ya bima pia ni hospital ambayo iko vizur sana kwani kuna mabingwa wote wa magonjwa mbalimbali pia wanatoa vipimo vyoooteeee unavyovijua nihospital nzur sana na inahudumia wateja wake kwa ukarimu sana
Ipo hapa da es salaam karibu na makumbusho baadhi yawatu weng ambao nmewaona walishindwa kutibiwa katika hospital nyngne but walipoenda pale wamepona totallyIko maeneo gani mkuu??? Nifanye mchakato wa kwenda
Kitu kama hicho kipo kikubwa nikuijali afyavyakoHakuna kitu kama hicho duniani
Mtaliwa sana pesa zenu ndugu zangu