Hospital nzuri kwa ajili ya macho ya serikali

Umkonto umsizwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2023
Posts
454
Reaction score
949
Hey members habari za mchana
Naomba kufahamu hospital nzuri ya macho ya serikali maana nahitaji kupima macho (color blindness), na uoni na gharama zake itapendeza zaidi
Mchana mwema

Kwa. Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…