Hospital Nzuri kwa watoto aliepinda Mguu kidogo

monaco

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,184
Reaction score
1,778
Habari wadau....
ni hospitali gani naweza kwenda kumtibu mtoto mdogo wa 2yrs ambae mguu wake mmoja umepinda kidogo?
 
Nenda fasta CCBRT pale Msasani hospitality kuu ya macho, kama upo Hapa Dar es salaam itakua vizuri zaidi,,tena pale chini ya 5 yrs nadhani ni matibabu bure
 
Haina haja ya kumpeleka hosp, kadri anavyokuwa huo mguu utanyooka
 
Fika CCBRT Msasani huduma hiyo inatolewa bure kwa walio chini ya miaka 5.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…