King_Villa
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 575
- 380
Asante kiingoziWanakuja wenye ufahamu wasubiri
Pole Kwa uguliwa na mzee wako.
Owky asante kiongoziMloganzila ndio Diabetes (Endocrinology) Specialists wote wakubwa walipo sasa hivi
Mkuu utamaliza Hospitali kwa hayo maradhi yote hawezi kupona mzazi wako kwani hakuna dawa ya kutibu maradhi ya kisukari Moyo na figo katika hizo Hospitali na ukifanya mchezo utaweza kumpoteza mzazi wako. Mimi ninaweza kumtibia mzazi wako na akapona kwa dawa zangu za asili ukihitaji matibabu toka kwangu nitafute kwa wakati wako auguwe pole mzazi wako.Habari wakuu,
Mzazi wangu anasumbuliwa na ugonjwa wa sukari moyo na figo …kwa siku za karibuni hali imezidi kubadilika anashindwa hata kutembea ,,akila pia anatapika...
Nimefikia hatua ya kubadilisha hospitali labda madaktari wanatofautiana tratment na ujuzi
Kwa anaejua hospitali naomba tujuzane au mwenye ushauri zaidi..
Asanteni