HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,448
- 6,211
Hatari sana inabidi wizara iingilie katiKumezuka michezo michafu kwenye hizi Taasisi binafsi za Afya hasa kwa wanawake wajawazito kuzushiwa kua mtoto amakaa vibaya lengo ni kutisha na kukatisha tamaa mwanamke asijifungue kawaida Ili wamfanyie Operation kwa gharama kubwa sana,hii yote inasababishwa na tamaa ya fedha,
Wanawake nao hawashtukii huu mchezo utakuta mtoto wa kwanza mpaka wa tatu ulizaa kawaida ila wa tatu ndio haiwezekani na wakati huna historia ya matatizo yoyote!
Huu utapeli sijui kwanini wizara ya Afya hawaufanyii uchunguzi!
Huyo Chaula mapichapicha sana. Hivi biashara ya mabasi (Ilasi) ndo aliacha kabisa?Habali ya jumapili wanabodi,
Napenda kutoa hii taarifa kuhusu hospital ya private ya CHAULA iko Songwe Vwawa. Ukimpelekea mgonjwa wanawapa majibu ya uongo tena magonjwa makubwa ili mtishike haswaa na kuanza kumpa huduma wapate pesa.
Kuna mwanamke alikuwa mjamzito alipoenda pale kupima ultrasound akaambiwa mtoto amekaa vibaya ametanguliza miguu badala ya kichwa hivyo wanaweza mpoteza mama na mtoto kumbe ni uongo, pia kuna mgonjwa alienda kupima pale akaambiwa Figo zimefeli kumbe hakuna kitu.
Kubwa kuliko ni wiki hii tumempeleka mgonjwa wetu pale wakampima x ray majibu wakasema mgonjwa wetu ana saratani kwenye mapafu wakaanza kumtibu na mitungi ya gesi juu tunalipia baada ya kumhamisha hapo tukampeleka hospital nyingine alivyopimwa kumbe anamaji kwenye mapafu, sasa hivi amepewa dawa za kupunguza maji anaendelea vizuri kabisa.
Nitoe rai kwa viongozi wa Mkoa hii hospitali muitazame sana ni waongo mno madaktari wa pale.
Habali ya jumapili wanabodi,
Napenda kutoa hii taarifa kuhusu hospital ya private ya CHAULA iko Songwe Vwawa. Ukimpelekea mgonjwa wanawapa majibu ya uongo tena magonjwa makubwa ili mtishike haswaa na kuanza kumpa huduma wapate pesa.
Kuna mwanamke alikuwa mjamzito alipoenda pale kupima ultrasound akaambiwa mtoto amekaa vibaya ametanguliza miguu badala ya kichwa hivyo wanaweza mpoteza mama na mtoto kumbe ni uongo, pia kuna mgonjwa alienda kupima pale akaambiwa Figo zimefeli kumbe hakuna kitu.
Kubwa kuliko ni wiki hii tumempeleka mgonjwa wetu pale wakampima x ray majibu wakasema mgonjwa wetu ana saratani kwenye mapafu wakaanza kumtibu na mitungi ya gesi juu tunalipia baada ya kumhamisha hapo tukampeleka hospital nyingine alivyopimwa kumbe anamaji kwenye mapafu, sasa hivi amepewa dawa za kupunguza maji anaendelea vizuri kabisa.
Nitoe rai kwa viongozi wa Mkoa hii hospitali muitazame sana ni waongo mno madaktari wa pa
Hawa mafisi ni wauaji kabisa!
Hizo hospilali za hao watu wa Afya wenyewe na viongozi wa nchi je nani atafuatilia wakati wanaogopana, Tuvumilie Tu mpaka sisim itakapo pinduliwa madarakani Ahsante.Kumezuka michezo michafu kwenye hizi Taasisi binafsi za Afya hasa kwa wanawake wajawazito kuzushiwa kua mtoto amakaa vibaya lengo ni kutisha na kukatisha tamaa mwanamke asijifungue kawaida Ili wamfanyie Operation kwa gharama kubwa sana,hii yote inasababishwa na tamaa ya fedha,
Wanawake nao hawashtukii huu mchezo utakuta mtoto wa kwanza mpaka wa tatu ulizaa kawaida ila wa tatu ndio haiwezekani na wakati huna historia ya matatizo yoyote!
Huu utapeli sijui kwanini wizara ya Afya hawaufanyii uchunguzi!
Ndipo hapo ninapomshangaa mleta madaHivi ukifanya vipimo vya ultra au ct scan unauwezo wa kuchezea ili majibu yaToke ndivyo sivyo
Maana tunajuwa kila baada ya kufanya vipimo ku a report unapewa ambayo iko printed
Oba