stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 259
- 483
Serikali imedhamiria kuboresha Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kuijenga upya ili kuwezesha huduma zote kutolewa ndani ya jengo moja litakalokuwa na vitanda 1,757 kutoka 1,435 vya sasa ambapo mradi huo utagharimu Dola za Marekani milioni 468 [takriban TZS trilioni 1.2] ambapo kati ya fedha hizo USD milioni 364 zitatoka Korea Kusini na Serikali ya Tanzania itachangia USD milioni 104.
Akizungumza Mkurugenzi wa Huduma za Upasuaji Dkt. Rachel Mhaville kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa MNH wakati akitoa taarifa kwa umma juu ya mafanikio ya kipindi cha miaka minne chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu, amesema utekelezaji wa mradi huo ni wa awamu moja ambao utachukua miaka mitano kukamilika baada ya kusaini mkatab
wa tril 1a.