Hospital za Dar wanajua kweli kuiba

Hospital za Dar wanajua kweli kuiba

BABA BOMBASTIC

Senior Member
Joined
Jul 10, 2024
Posts
146
Reaction score
246
Hivi unapopima kwenye mshipa mkubwa wa damu mkononi unacheki magonjwa gani? Nimeenda na mtoto kumpima eti kila kipimo kina bei yake, maana nimeenda kumpima U.T.I, Typhoid na Malaria

Je kila kipimo hapo juu kinapimwaje ni lazima kihusishe damu tu?
 
Hivi unapopima kwenye mshipa mkubwa wa damu mkononi unacheki magonjwa gani??nimeenda na mtoto kumpima eti kila kipimo kina bei yake,maana nimeenda kumpima uti
Typhoid
Malaria je kila kipimo hapo juu kinapimwaje ni lazima kihusishe damu tu??
Kama unaenda hospitali hujui hata unataka vipimo gani , utapigwa sana
Hizi simu janja zimekuwa ni kuingilia sosho midia na kumsikiliza dayamondi
Mimi nampiga maswali huyo dokta mpaka anajigonganga
 
Kama tu vipimo vidogo vidogo hivi unalia lia( sijui vipimo vitatu) , ukipelekwa pale Mhimbili itakuwaje... Maana huwa wanapima vipimo vyote hawaachi tata kimoja...
 
Mzee kwani we ulitakaje? Ulitaka damu wakitia kwenye kipimo kimoja kisome typhoid na marelia hicho hicho?
 
Hivi unapopima kwenye mshipa mkubwa wa damu mkononi unacheki magonjwa gani??nimeenda na mtoto kumpima eti kila kipimo kina bei yake,maana nimeenda kumpima uti
Typhoid
Malaria je kila kipimo hapo juu kinapimwaje ni lazima kihusishe damu tu??
nilijua unamaanisha kuima vitu halisi sio kuongeza bei na vipimo. on the other side, na kumbuke miaka ile najipanga nilienda na wife hospitali akalazwa, ndio nilijua kuna manesi wanaiba hadi juisi za wagonjwa na kupekua wallet. ila ni maisha tu hawana namna kulingana na mishahara. watoto ukizubaa kama mama yupo peke yake na wakati wa kujifungua amezirai wanaweza kubadilisha na mtoto kilema au mfu au wakaiba kabisa.
 
Back
Top Bottom