BABA BOMBASTIC
Senior Member
- Jul 10, 2024
- 146
- 246
Ama kweli wezi wanawajua wezi wazaoElezea vizuri basi.
Laah si hivyo utaibiwa kweli.
Kama unaenda hospitali hujui hata unataka vipimo gani , utapigwa sanaHivi unapopima kwenye mshipa mkubwa wa damu mkononi unacheki magonjwa gani??nimeenda na mtoto kumpima eti kila kipimo kina bei yake,maana nimeenda kumpima uti
Typhoid
Malaria je kila kipimo hapo juu kinapimwaje ni lazima kihusishe damu tu??
Kama tu vipimo vidogo vidogo hivi unalia lia( sijui vipimo vitatu) , ukipelekwa pale Mhimbili itakuwaje... Maana huwa wanapima vipimo vyote hawaachi tata kimoja...
nilijua unamaanisha kuima vitu halisi sio kuongeza bei na vipimo. on the other side, na kumbuke miaka ile najipanga nilienda na wife hospitali akalazwa, ndio nilijua kuna manesi wanaiba hadi juisi za wagonjwa na kupekua wallet. ila ni maisha tu hawana namna kulingana na mishahara. watoto ukizubaa kama mama yupo peke yake na wakati wa kujifungua amezirai wanaweza kubadilisha na mtoto kilema au mfu au wakaiba kabisa.Hivi unapopima kwenye mshipa mkubwa wa damu mkononi unacheki magonjwa gani??nimeenda na mtoto kumpima eti kila kipimo kina bei yake,maana nimeenda kumpima uti
Typhoid
Malaria je kila kipimo hapo juu kinapimwaje ni lazima kihusishe damu tu??